Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Kwa Taarifa Tuu hawa ECU wako Millioni 18 Nchi Nzima Na Wanashiriki Kombe la Dunia.

Tanzania tuko Millioni 61 tumebong’aa tuuu
Wewe sie hatujui lolote hapa duniani. Mpira wenyewe ndio kabisaaaa. U17 u20 u23 zote timu hazichezi afcon ndio utegemee kucheza wworld cup. Tuache utani
 
Aiseee hawa majamaa wana tech ya kutisha

Mwanzo nilidhani ni mbeleko ila hii review ya 3D iliyoonesha offside nimewavulia shati

Kweli mzungu hakosei
Tulioanza kuzungumzia bahasha tumevuliwa nguo[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hahaha raia mnajifanya kuzijua sana sheria (ujuaji wa kibongo), wakati wakileta vipimo inaonekana kamguu kalizii kidogo, huku hakuna mambo ya kibinadamu[emoji23]

Hiyo hapo penalty, hiyo ndio ya halali.
Mkui ujue mwanzo Refa alipoamua kuwa sio goli baada ya kuangalia VAR hatukumuelewa kwasababu hatukuona review

Ila baada ya kuona review nimegundua kuchezesha mpira kunahitaji gharama, vinginevyo kauli za kusema makosa ya kibinadamu haziwezi kutokomea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…