Jana ujaonekan kbsa USA vs iranNa mlivyo mbilikimo,mnakutana na magiants ma poland.
Nilikuwa job.Jana ujaonekan kbsa USA vs iran
Hii kitu ikifanyika vice versa kwenye world cup ya wanawake nitagThe men’s match between Germany and Costa Rica will have an all-female refereeing team for the first time in history
View attachment 2431914
Nini Hiki? Na Unamaanisha Nini?Wajukuu wa malkia wana msemo wao #itscominghome
Jamaa wako serious na path yao ni kama hii. Sijui kama watatoboa
Maaana akiwatwanga hao wote basi hakutakalika
View attachment 2431911
Nini Hiki? Na Unamaanisha Nini?
Friends of Poland tupo hapa
Nipo na Saudi Arabia.Team Messi mnajiandaa kulia au kucheka ?Tunaoimbea Saudi Arabia ishinde naiqualify tujuane.
Mchuano ya mwaka huu ni mgumu sanaa na ni ngumu kutabiri Mshindi kwasababu hakuna timu inayokubali kuonekana hajui...wanapambana sana...ukiuliza ni timu zipi zitaingia fainali ni ngumu kujuaDawa ya Hili kombe ni kuhama kila timu mpka inayochukua kombe
Hauko serious, team ipii Africa itachukua kombe? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Brazil...ila Nombea Africa zichukue kombe!!