Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #12,421
Acha kupamba mavi mauaMessi anafanya mambo magumu yaonekane mepesi
Mkuu dish lako limeyumba ama?Acha kupamba mavi maua
Nimewasikiliza wachambuzi wa ule mchezo wakiongozwa na Michael Owen wote wamesema lile goli lilikuwa ni halali. Kanuni ya off side ni kuwa, kuwa off side siyo kosa kikubwa ni kuwa mchezaji aliyeko off side asiingilie/asiathiri uchezaji wa huo mpira.(Kwa elimu yangu ndogo)Sheria ya offside inasema kuwa kama mchezaji alikua nafas ya offside na mpira ukapigwa hatakiwi kuinterfere na mchezo
Pale griziman hakutakiwa kuugusa mpaka mchezaj mwingine aliyekua onside augu
NdiyoMkuu dish lako limeyumba ama?
HesgoalNaomba mnitajie App ya kustream mechi ya Argentina vs Poland
Score808Naomba mnitajie App ya kustream mechi ya Argentina vs Poland
GOAT [emoji238] Wa MchongoMessi anauwasha sana leo