BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Kwasababu si ndo mechi yake ya mwishoMessi anauwasha sana leo
Kwa Tz sidhani sidhani labda ustream liveHivi ukiacha tbc na DStv,channel gani zingine zinaonyesha Mechi? Naona tbc hawaoneshi Mechi Hawa wasengerema
WamefanyajeTBC wapumbavu kabisa
Asa TBC hawaoneshi mkuuItabidi niwe mpole leo wageni wajomba zangu wamekuja homu wnaangalia upendo tv hapa hawataki hbr za mpiraa
Wacha nitulie Happ kwa upole huku nimeweka live score
Mbona inazunguka tu wala haina maajabu yoyote hiyo stream?Hesgoal
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Itabidi niwe mpole leo wageni wajomba zangu wamekuja homu wnaangalia upendo tv hapa hawataki hbr za mpiraa
Wacha nitulie Happ kwa upole huku nimeweka live score
Denmark michuano hii wamekuwa hovyo sanaNajua mshazichambua mechi zilizopita, ila kumtegemea jirani katika majambo yako ni ngumu sana.
Denmark ni wa kushindwa kudroo na Australia, kweli!!!!
Ulimpatia pongezi Mkulungwa kwa kukuchosha vizuri we pisi kali [emoji848][emoji87]Nishaanza kusinzia [emoji1787]
No mkuu natumia DStv so nawavizia wakale tuAsa TBC hawaoneshi mkuu
Wapo ila hawajabetiTeam Argentina ,π¦π·π¦π· mpoo
Katika wazembe unaongozaNishaanza kusinzia [emoji1787]
Kwa kweli tbc wananyima Sana Raha sisi wanyonge πππTBC wapumbavu kabisa