political monger senior
JF-Expert Member
- Nov 26, 2020
- 1,827
- 5,994
football TVNaomba mnitajie App ya kustream mechi ya Argentina vs Poland
Sijakuelewa uko upande upi taja timu moja kwa moja[emoji1200] wafanye kweli bhanaaa, wawatupe nje hawa vi andunje [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umeona eeh polland wamezidiwaaaHao ndio vizabizabina wasiotutakia mema....😂😂😂
Imagine mwanao unamuita hivi halafu shule anaenda kusomea bush kwa bibi yake.Prtyozsky 😄
PenaltyvAR loading...
Safi kabisa penati ya mchongoKakosa