Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Madam kaangalie wasifu wa Ochoa..ni basi tu Arg alimbahatisha juzi. Ila Ochoa si mtoto eti. A8fu kule magoal keeper wote wawili wako vizuri..si muarabu si wa mexico
Yule Ochoa ni kama Manula,dawa yake ni mashuti ya mbali.
 
Scezny(?) yupo vizuri sana, sijui kwa nini kipindi kile Wenger alimuuza.
Una mawazo kama yangu. Ni vyombo vya habari vya Uingereza vilikuwa vinamwandama kuwa hana kiwango. Halafu Arsenal ilikuwa kwenye kipindi kibaya hivyo wanajaribu kushika kila ''jani linaloelea''. Tangu ahame amekuwa kipa mzuri sana. Ni sawa na huyu Martinez wa Argentina. Arsenal walimuuza lakini mimi naona kiwango chake ni kizuri tu.
 
Sema kukosa penati ni kawaida hata wachezaji wakubwa wanakosa

Hata Bocco alishawahi kosa so Messi asiwe disappointed sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…