Mwananchi B
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 1,885
- 4,131
Nmepanda ghaflaWanajitia hawapendi Argentina wakati mechi hii ndo inaangaliwa na watu wengi
Waarabu wapigwe tuLimepigwa goli kali sana la faulo...narudia tena kali sana
Mdogo mdogo tunaweza ingia fainali
We subiri uone
Kama ngamia kupenya tundu la....Mdogo mdogo tunaweza ingia fainali
We subiri uone
Lingekubaliwa Poland angeaga.Ila hawa wasouth America wapo serious yaani.Mexico kafunga bao la tatu ila limekataliwa kwasababu ya offside
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa Poland huu ndio muda wa nyie kuamua kubaki au muungane na sisi kuwa mashabiki
Inaonekana kama waarabu watanyeshewa na mvua ya magoli tunaeza tusifike hukoKumbe Poland na Mexico wakilingana kila kitu kigezo kitachoangaliwa next ni Discipline.
Mwenye Yellow cards nyingi anaaga mashindano
NdiyoKumbe Poland na Mexico wakilingana kila kitu kigezo kitachoangaliwa next ni Discipline.
Mwenye Yellow cards nyingi anaaga mashindano
Kwa chuki aunkwa moyo mtatupenda tuuNmepanda ghafla
Kwa chuki [emoji16]Kwa chuki aunkwa moyo mtatupenda tuu
Watafika kwa utani utani hadi utashangaaMe nilishabet Argentina to the final. Niko nasoma upepo unavyoenda
Kumbe Poland na Mexico wakilingana kila kitu kigezo kitachoangaliwa next ni Discipline.
Mwenye Yellow cards nyingi anaaga mashindano
Watafika kwa utani utani hadi utashangaa
I love MessiI believe in Leo🤍 vamos Argentina.
Wamategemea kama munguMessi anapata shida sana kucheza na team ya taifa imagine umekimbia na mpira weer unafika kwenye 18 hakuna wa kumpelekea [emoji18][emoji18]
I love you[emoji38]I love Messi
Messi anapata shida sana kucheza na team ya taifa imagine umekimbia na mpira weer unafika kwenye 18 hakuna wa kumpelekea [emoji18][emoji18]