Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Mexico na Poland zinatofautishwa na yellow cards kwa sasa, goli lolote litabadilisha nafasi zao.
 
Ha ha ha Ila walifanya la maana sana hizi game za mwisho kuchezwa muda mmoja.

Hapo poland wachezaji wanaweza hisi wapo safe kumbe mambo yanaenda kuharibika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…