Portugal hapana wana vitu vya ziada wanaweza kuwa timu pekeee itakayoingia mtoano kwa pointi 9Sio Argentina pekee, Bali timu nyingi za ulaya kama vile Poland, Portugal, austaria...
Kwa utoto wa juzi, Brazil hafiki mbali, labda abadilikeRoute to World Cup 2022 Final
View attachment 2432888
Upo nyuma ya mda sanaHatimaye kanada wamepata goli moja
Kachukia sanaaaLukaku apelekewe maji na mafuta ya Mwamposa
Brazil unawasahauPortugal hapana wana vitu vya ziada wanaweza kuwa timu pekeee itakayoingia mtoano kwa pointi 9
Tunatoboaaaaa weyeeeeeeeh!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mm ni ujeruman Ila ujeruman Leo anaaga mashindano
Kabisaaaaaaa nakubaliiiiii, haters wa [emoji629] wajipangeeeee sanaaa.Wewe sio mtabiri wala mchambuzi mzuri wa michezo
Angalia UJerumani anacheza na nani (Nguvu na udhaifu wa Costa Rica)
Pia angali Japan anacheza na nani? Spain ana pts 4 hizo hazitoshji kumpa usalama, Costa Rica na Japan wakishinda Spain anaachwa na hayuko tayari kufanuya hivyo. So Spain leo lazima amfunge Japan na Ujerumani ni lazima amfunge Costa Rica, Mpira unamalizwa kwa staili hiyo
Unataka nini zaidi
- Spain pts 7
- German pts 4
- Japan pts 3
- Costa Rica pts 3
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hawafiki wapi wakat wapo airport sshv kurud kwao Belgium
Lilikuwa chama langu hilo lkn tangu walivyokuja kutetea upinde dizaini nimebaki na Argentina na SenegalTeam German tonight [emoji16]
Remember: Never write off the Germans
Umekalili maisha Germany inayotetea ushonga hakuna kitu
Hapa Senegal tuna pasua.