Banned[emoji2772]Kweli?
Tumekubaliana kua hao ndio watakua Man of the mach wa michuano hii.Tanesco wamepita na umeme wao
HaipingwiTumekubaliana kua hao ndio watakua Man of the mach wa michuano hii.
Tanesco wamepita na umeme wao
Yah ndio nacheki hapaPoleee hamia DSTV App
Hahaaaa naona huko saloon wana majokofu ya kuondolea joto mwilini na hizo bar zao zina vinu vya nyuklia vya kuchomea nyama vinatumia umeme mwingi.Saloon na bar tu
Hapo Morocco tunaingia robo fainal.Sasa Morocco vs ujeruman
Croatia vs Spain game [emoji91][emoji91][emoji91]
Anakutana na Germany [emoji629]Inaonyesha Morroco mwaka huu ndio timu ya africa iliyojipanga zaidi
Huyo aliekupa statistics hizo ni kilaza au ana mihemkoAliyenipa hizi stats ni mtu wa Tanesco ila tukija kuangalia idadi za hotel zilizopo sinza ni kubwa kuliko dodoma, tuje idadi ya lodge, kumbi za sherehe?? Tuje tuangalie idadi ya Bar, lounge, viwanda, maofisi, tuje kwenye frem za Biashara. Makazi ya watu kila nyumba. Na hapo matumiz ya fan na AC yapo juu.
Ndio wameruhusu hivyo. Wakati anajifunga si kulikuwa na keeperAmejifunga mtu
Why amepigwa ban?Banned[emoji2772]
Umri. Wengi pale hamna kitu. Mwenye umri mdogo ana 26Belgium [emoji1045] kama angekuwa hataki kushiriki world Cup amekuja kufanya nini?ni kama wamelazimishwa team Belgium [emoji1045] ya sasa ni tatizo
Ndo mimi nmekuja kivingine babe[emoji846]Why amepigwa ban?
Jaman mkikwazana jaribuni kupotezea kuepuka ban kama hizi za ajabu
Naona ww na best ako mmefungiwa nje ya uwanjaWee dear [emoji629] tunashinda na kusonga mbeleeee.
Kwahiyo unatutisha ama?Anakutana na Germany [emoji629]