vibesen xxx
JF-Expert Member
- Jul 23, 2022
- 3,187
- 6,620
Argentina [emoji1033] Argentina [emoji1033] Argentina [emoji1033] VamosssssssssssWewe tulia sisi chelsea tunajenga timu. Suburb msimu ujao unaeza lia nakwambiya
Nawaombea ushindi wavimba macho (Japan) japo wakifungwa sintakua na chakupoteza.Ila kuna ladha fulani timu za japan au korea zikiwa zinacheza
Mpira wao upo tofauti hivi
Hebu tusibishane bwana... tuendelee kuwatch mpira..kama ndo hivyo endeleeni kukatiwa umeme mnalifilisi Taifa.
Nyie ndo mu weki apu mnaliwaTuna filisi taifa tena, 70% ya Tax zinakusanywa Dar wake up!!
KabisaNdo raha .Nimegundua kuwa na team before match ni kujitakia pressure ya bure.As far as Tanzania haimo,so bora kushangilia inayoshinda.
Na Spain [emoji633]?Ghana ni williams
Japan na Costarica nipo hapa.Hizi game za leo muda huu hazina mashabiki? Au watu wanaogopa kushangilia wataambiwa wanapromote upinde
SafiiiJapan na Costarica nipo hapa.
Zipo ndiyo.Mnaoangalia mechi ya germany kuna dalili za costa rica kupata goli?
Wamepata nafas 2 nzr wamekosa.Mnaoangalia mechi ya germany kuna dalili za costa rica kupata goli?
Hao Japan walishindwa tumia nafas yao game ya Costa Rica kufuzu ngj warud kwao wakafanye shughuli za kiuchumi tu.hii mechi ya Japan na Hispania haina hta radha..
Wanaukabaji fulani wa hatari sana, hawachoki. Nasikia Japan wapiga ngoma tu wanakimbia kilomita ishirini kila siku ya Mungu kutafuta pumzi.Ila kuna ladha fulani timu za japan au korea zikiwa zinacheza
Mpira wao upo tofauti hivi
Umri wa viungo ni mkubwa kuliko wa kwenye vyeti so wakiiga ile mikunjo kuna hatari ya kuvunjikaKwanini wasiige mkunjo wa Casemiro?