United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,132
- 6,353
Kwa hizi beki za Ujerumani? Wanaweza pata magoli wakituliza vichwaMnaoangalia mechi ya germany kuna dalili za costa rica kupata goli?
Saa 4 ndio hii, maendeleo vipi?Tukutane saa 4 mkuu
Labda ajentina ya Manzese na moroko ya KinondoniAjentina akikutana na moroko lazima akae
Kuna watu humu ndani hawaeleweki team zao ni zipi maana kila tim unakuta yumo, kuna wengine bendera fata upepo.
Spain wanafurahi maana wanaukwepa upande alipo Argentina na Brazil.Japan wanaongoza