Cornwallis
JF-Expert Member
- Oct 30, 2022
- 940
- 853
Hizi timu za bara ulaya hata hazieleweki yaani sijui ndio huo upinde.. kwa ulaya Ukitoa France na Crotia hawa wengne laini sana sana wajikaze basi aaahSpain wanafurahi maana wanaukwepa upande alipo Argentina na Brazil.
Wanaacha ku focus uwanjani wanajifanya wanaharakatiHii Germany irudi tu kwao ikaendeleze kampeni zao za upinde.
Moja moja tayariYap,ila ikitokea Costarica akishinda kule basi Spain wanatoka.
Mungu asaidie ,Costarica waongeze la piliMoja moja tayari
Bila Shaka Unaangalia GameYap,ila ikitokea Costarica akishinda kule basi Spain wanatoka.
Hawa Spain wanataka wawakwepe Croatia nn
Anaweza kosa vyoteAnawakwepa Brazil na Argentina.
Hahah amn mkuu.. Yan hawa Japan mpr wao discpline sana hivi vifala kwny kundi vinatk kutuonesha wao watafuzu kwa kuwa funga magiant tu[emoji23][emoji23].Spain anafanya match fixing [emoji16]
Germany out kwa sasa.
Unataka Japan na Spain watoke mkuuMungu asaidie ,Costarica waongeze la pili
Japan wanacheza mpira Toyota aisee hawapoiSpain kakumbana na binadamu wa kwanza na muasisi wa kujitoa muhanga😀😀. Asante sana Japan
Wazee wa KamikazeSpain kakumbana na binadamu wa kwanza na muasisi wa kujitoa muhanga[emoji3][emoji3]. Asante sana Japan
Spain kwa Morocco nakuambia kbs mkuu wanaweza kutoka.. Morocco ni team ya htr kbs na kuogopa tena game izi za mtoano.Kweli mkuu wanawataka Morocco hawa
Japan wanacheza mpira Toyota aisee hawapoiSpain kakumbana na binadamu wa kwanza na muasisi wa kujitoa muhanga😀😀. Asante sana Japan