Cornwallis
JF-Expert Member
- Oct 30, 2022
- 940
- 853
Huyu sister anajiongelea tuWaendelee kupanga matokeo a.k.a wazee wa kufix😀😀😀
KasawazishaEndapo matokeo yatabaki hivi,
Spain na Germany wote out. *****
Hawa wa Ulaya waliendekeza Siasa mkuu, akili zao zote zipo kwengine wacha watiwe adabuYaani hii World Cup ndo ya kwanza mimi kuona hata timu ya Africa inaweza kuwa Bingwa.
Spain [emoji3581]
German [emoji3581]
Japan hawezi mfunga spain akijitahid sare hao Costa rica leo hasira za wajukuu wa Hitler zitawaka juu yao wanaweza wakafunga grupu kwa kapu la magoli.
Aaaaagh, Costa Rica ongeza lingine tafadhali.Kasawazisha