Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,308
- 32,757
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kombe la dunia Lina hekaheka hili[emoji23][emoji119]
Imagine, marudio ya mechi ya jana ya Ujerumani,wamama wanashangilia magoli hapa,na hawajui kuwa ni marudio
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Wanapiga makofi hao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unapozungumzia Argentina katikati wana watu kama Paredes ,De paul ,Mac allister rodriguez na enzo fernandez ,kiungo pekee anaenza kikosi cha kwanza cha Argentina ni De jong tu ,the rest are averages.Na mind you Argentina wanatumia viungo watatu, in Midfield battle Uholanzi wata struggle kwa sababu ya messi kushuka chini na kuwa na viungo wa nne (diamond).Uholanzi wana team nzuri lakin sio ya kuisumbua Argentina.Kuna kiungo kama Dejong Argentina?
Kua beki kama vin djik,Delight , na Ake?
Labda Argentina front three ila kwingine mido wa Brighton ampoteze dejong never
Why uholanz kwa Ecuador usione ni game approach?
Morocco hajafika hapo alipo kwa kubebwa lolote katika mpira linatokeo unaweza kwenda kwa kuamini utamchabanga baada ya dakika 90 ukachabangwa wewe. Yujipe mudaGame ya Spain ilikuwa fixed.
Lengo tu akutane na Morocco amchabange atoke
2018 Spain alibebwa dhidi ya Morocco.Natamani Morocco wawafunge hawa jirani zao Spain.Morocco hajafika hapo alipo kwa kubebwa lolote katika mpira linatokeo unaweza kwenda kwa kuamini utamchabanga baada ya dakika 90 ukachabangwa wewe. Yujipe muda
Ghana mechi yao waliocheza na Korea ilitaka kunitoa roho kwa presha asee sijui leo itakuwaje 🤔Nipo upande wa Ghana leo.
Ueuguay hana maajabuNipo upande wa Ghana leo.
Sio dharau mkuu Ghana leo atapata labda sare sio kuwafunga kina ValvedeHii ni dharau kwa Ghana
Uruguay anakufa mchana kweupeHii ni dharau kwa Ghana
Uruguayi chaliSio dharau mkuu Ghana leo atapata labda sare sio kuwafunga kina Valvede
Ngoja tuoneUruguay anakufa mchana kweupe
Mark this tweet
Uruguay hawana lolote mkuu labda Ghana akiingia na mentality ya Draw...;Sio dharau mkuu Ghana leo atapata labda sare sio kuwafunga kina Valvede
Yan ndo nilikua nasema jana kua Ghana waingie na Mentality ya kushinda na kucheza kwa nidhamu sio kila mda unakimbia kimbia bila mipango.Uruguay hawana lolote mkuu labda Ghana akiingia na mentality ya Draw...;
Uruguay anakufa mchana kweupe
Mark this tweet