Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

TBC ni changamoto sana kuwaangali inahitaji ujasiri wa kumuua chui bila salaha yoyote..!

Sjawahi kuona channel inascrach kama hii
 
Asingedaka huo mpira angeacha tu mpira ujae nyavuni tuingie kwenye semi final
Kwa iyo kumbe suarez anachukiwa kwa sababu alidaka mpira[emoji23]

Sasa kama alipewa adhabu na waafrika bado wakapewa penalt wakakosa shida iko wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…