Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #13,921
Hovyo Timu hazina utimamu
Mimi huwa nashangaa hata ni kwnn anapangwa, kuna mipira mingi ya kulia hawezi kucheza, anategemea mguu wa kushoto tuNashaur Ayew atoke maaana hata cheza mpira kabisaa
Bila kusahau Ghana ndo timu inayoumizaga mioyo ya watuKwa hizi timu za watu weusi afadhali Senegal