Unachosema kina ukweli flani, yaani hatuko serious katika mambo muhimuWatu weusi sie tunaweza uchawi na umbea na uwizi wa Mali za Raia tu mpira hatuwezi
Alimdunga Korea Kusini.kwa Kubahatisha,timu ya Afrika iliyotolewa kwa bahati mbaya Ni TunisiaGhana kadekezwa sana apigwe cha 3 nishike hela zangu
Sio tu penati..bali muhimu sana..Afrika na mambo ya kipumbavuu.
Unakosaje penati?