Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Bora hata SenegalHawa jamaa wachunguzwe! Huu Sio uchezaji wao
Tatizo kaweka ubishoooUnapewa penati unabutua, unastahili adhabu kali sana
Ronaldo anafanyiwa sub analalamika
Huyo ronaldo ana matatizo
Yani wanarukaruka kwenye bebeo, hawatulii hata. Mwisho mbebaji achoke awabwage tu chini πππRefa anwabeba tu Ghana lakini Ghana wenye hata hawabebeki leo.
Hawa Jamaa wanafanya kusudi Kwa kweli
Sio bure. Wakichunguzwa hawa unaweza kuta kuna jambo limetokea. Yaani pasi kwa wakati hawatoi.Yani wanarukaruka kwenye bebeo, hawatulii hata. Mwisho mbebaji achoke awabwage tu chini πππ
Duh[emoji23][emoji23][emoji23]Alimuandaa kipa kuicheza penalty ile maana amemuonesha kwa mwili na miguu kama atapiga vipi na wapi. Veery unlikely kwa professional player kama yeye
Sasa ile penati kuna uchawi gani pale?Uruguay wachawi mjuee
Eh leo hawapo tu mchezoni. Wamezidiwa tu kila kitu. Nahisi walipania sana mechi hii walipe kisasi lkn ndo mambo yakageuka ss. Na yote kayataka andre ayewSio bure. Wakichunguzwa hawa unaweza kuta kuna jambo limetokea. Yaani pasi kwa wakati hawatoi.
Jamani msinipopoe mimi nimesema tuu... kunogesha jukwaaSasa ile penati kuna uchawi gani pale?
Au wamebet ππππππSio bure. Wakichunguzwa hawa unaweza kuta kuna jambo limetokea. Yaani pasi kwa wakati hawatoi.