Tripple Jay
JF-Expert Member
- Jul 9, 2017
- 1,012
- 1,939
Bado una imani ghana atarudisha?? Na uchezaj huu wa leo? Japo mpira una maajabu yakeGhana wanatafuta goli huku hawajaikontroo mechi hii ni hatari kwao
Waushike kwanza mchezo
Hawana goli na wapo tu happyHawa Jamaa wanafanya kusudi Kwa kweli
Hawajali wala nini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wavulana huwajui wanavyocheza! No concentration
Hawa watoke tu, kamwe usiende pigana na mtu kwa kutaka lipizaJamani msinipopoe mimi nimesema tuu... kunogesha jukwaa
Na penalt wameikosa zaoHawajali wala nini
Ronaldo kawa nyoka kibisa, coach awe anamtia bench tu hana impact
Wanajiona UruguayGhana wanacheza kama wao ndio wameshinda..wameridhika
Wameanza kuamka sasa, it's too late