Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 5,814
- 8,118
Hakuna cha kuamka ndugu. Nawajua vizuri Hawa na jamaa zao Nigeria. Usibeti juu yao kabisa.Wameanza kuamka sasa, it's too late
Bado wanashindwa kumaliziaWameanza kuamka sasa, it's too late
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hakuna cha kuamka ndugu. Nawajua vizuri Hawa na jamaa zao Nigeria. Usibeti juu yao kabisa.
Nakubaliana na wewe. Hawana bahati wanapocheza na Uruguay.Hawa watu wana bahati mbaya tuache utani
Uyo korea ndo anatokaSafi Korea
Uruguay aende nje