Mimi piaeeenh Matokeo Yabaki Hivyi.
Kwa kigezo kipi mkuu?Uyo korea ndo anatoka
Ndo maana nikashangaa unasema Korea anatoka.. Uruguay ndo anafunga virago kwend kula viaziWazee wanaangalia msimamo wa kundi kwenye simu
Suarez anatoa machozi akiumia moyo
What a football
Sisi wakorea ndio tunaamkaaaaeeenh Matokeo Yabaki Hivyi.
Kwani education maana yake nini?Huu mji unaitwa education city alafu waarabu wakija huku wanatufungulia madrasa tu
Watakua wameuza gameHakuna cha kuamka ndugu. Nawajua vizuri Hawa na jamaa zao Nigeria. Usibeti juu yao kabisa.
Sor mkuu skujua kama korea anaongoza mechiKwa kigezo kipi mkuu?