Franklin1902
JF-Expert Member
- Aug 1, 2018
- 2,241
- 4,876
Aanha hapo sawa mkuu.Sor mkuu skujua kama korea anaongoza mechi
Wanamsafishia njia Brazil haoKorea wapite waendelee kusafisha uwanja (they deserve to go through)
Japan ndo wanaosafisha viwanjaKorea wapite waendelee kusafisha uwanja (they deserve to go through)
Yoyote kwa Brazil atatoka tu.Wanamsafishia njia Brazil hao
[emoji23][emoji23]Mpr una drama sana tena izi game za mwsh zinazopigwa mda m1 kudadeki lzm ukaeUruguay alikuwa anakaba tu saivi anasaka goli[emoji16][emoji16]
Na anavyopenda kulalamika sasa..!Suarez kawa kocha msaidizi
Kabisa. Tunamtaka yoyote hapaYoyote kwa Brazil atatoka tu.
Hapa mashabiki wa Ghana tunaomba wote watoke na Uruguay wao..!!Ghana leo mmejua kuudhi watu haswa andre.