Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 5,814
- 8,118
Katika group lao nani anatoka?Very important
FT S.K 2 -1 Portugal
Bado mechi haijaisha mkuuAsia imepeleka timu 3
Wamekosa magoli mengi mno jumlisha na penati..!!Kwa vyovyote vile wachezaji wa Ghana wana agenda ya siri.
Kivipi MkuuFT; SKA 2 : 1 Portugal
Ghana na Urugual kuna dalili wakapisha mashindano kama matokeo yakisalia hivi
Hakuna cha kuzidiwa west Africa usiwaamini kabisa. Hawanaga mijadala kwenye pesa.Eh leo hawapo tu mchezoni. Wamezidiwa tu kila kitu. Nahisi walipania sana mechi hii walipe kisasi lkn ndo mambo yakageuka ss. Na yote kayataka andre ayew