Eh wakichanga vzr karata zao watakuja kukutana nusu fainaliIli kombe la Argentina au Brazil
Sio mahaba ni uhalisia!.Otherwise Its football.Punguza mahaba
Van Gaal ni miongoni mwa makocha bora kabisa, Waholanzi wanapiga TOTAL FOOTBALL ukijichanganya wanatoa dozi ni noumer!Uholanzi ya Van Gaal tunaibeza lakini inakimbiza mwizi kimya kimya
Kila mmoja wetu yuko na furaha kuelekea kumtazama Messi na Argentina yake...leo mnataka hat trick au brace toka kwa Andunje?
Vamooooos LA SELECCIÓN [emoji1033]View attachment 2434791
Huko tunakokwenda inaanza kutabirika ndg. Maji na mafuta yanaanza kujitenga. Uzoefu na kubahatisha vinaanza kujipambanua. Na ndio maana maiaka yote kuna timu zikifika robo fainali ndio ubingwa wao. Mfano Timu za Africa hata ziloge namna gani hawawezi kuvuka QFWc hii haitabiriki mkuu
Dybala mchezaji mzuri sana, anaweza kucheza, kufanya drible na kufunga kwenye final third. Labda bado hana fitnessKwanini coach hampangi dybala?? Papu Gomez over dybala??
Kwenye finali za World Cup wako AsiaAustralia haipo Asia, ipo Oceania pamoja na New Zealand
Na wale ni Waingereza tu ila wasioishi England
View attachment 2433792
Mapema tumaliza game hii!!!Vamooooos LA SELECCIÓN [emoji1033]View attachment 2434791
Unajua mara nyng kuna ile nadharia uchezaji wa Dybala ni kama Messi na position zao so kuwaanzisha wote uwa kocha anaona ngumu sana.Nilitegemea dybala in
Yan leo mwnyw natK mapema sana tufunge 1st half tu.. Ile sik ya Poland walitupa sana presha nafas tumepata nyng hatukutumia, leo tuwe wazr sana kutumia chances ili kuepuka unnecessary anxiety.Mapema tumaliza game hii!!!
Walishindwa pata mshambuliaji mzuriOoooiiii Marekani chalii.. ila watafanya vzr kombe lijalo
Tuko Pa1 mkuu.Mapema sana nimeshakula uzi wa Argentina nasubiri mbungi lianze