technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Wavulana Sana tatizo world cup inahitaji vikosi vyenye mchanganyiko wa wazoefu na vijana usiwe na wazee Sana Wala usiwe na wazee wengi!!!!!Ooooiiii Marekani chalii.. ila watafanya vzr kombe lijalo
Mtatutambua mwaka huu[emoji7][emoji108][emoji108][emoji108][emoji108]
Kila timu upo mxieeewTeam Uholanzi
Timu VVd[emoji7][emoji108][emoji108][emoji108]
Hatuna Mbambamba
[emoji91][emoji91]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
VVD huwa anamuogopa MessiMtatutambua mwaka huu[emoji7][emoji108][emoji108][emoji108][emoji108]
Team VVD[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Leo inacheza team ya dunia, mabingwa wateule wanaosubiria kukabidhiwa ndoo, team yenye mchezaji bora wa mashindano na bora wa muda wote!Mwaisa Mtanesco leo kuna mechi gani?
Ufaransa wangu wanacheza saa ngapi
Ama ni kesho vile e
Hana match fitness ikumbukwe ametoka majeruhi baada ya kuwa nje ya uwanja kwa muda mrefuDyabala kamkosea nini uyu kocha.. hadi leo Di maria hayupo ila hajaanza game.. kawekwa mtu ata hatumjui..
Na kule nyuma naona kuna mwanya martinez hajawekwa..
Hahahahahahaaaa pa1 sanaaaNikalale tu siwez kuangalia bonanza
Australia mbarikiwe [emoji849][emoji849]