Hesgoal.comlink pls nimuone messi
kwa sehemu niliopo hii haifungukiHesgoal.com
Ingia humo Mkuu.
Duuuuh huyu mtangazaji anabonga kiarabu hatariiiii..eti Leonel Messi aba baaaa
Hesgoal ipo vizurikwa sehemu niliopo hii haifunguki
Hawa Australia waendelee kukaza hv hvNdani ya dakika moja Argentina hawakugusa mpira mpaka ulipomgonga yule beki na kusababisha kona
Kila mtu na mbinu zakeAustralia wqlikuja kuzuia magoli au kufuzu
Kweli maana na ile siku ya Ronaldo anacheza duuMwanao huyo,ana mahaba mazito kwa Messi & CR7[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Australia kufuzu mbele ya Tunisia & Denmark sio swala dogo mpe heshima yakeAustralia wqlikuja kuzuia magoli au kufuzu
Sasa hivi futanshuhudia Messi akiwa katika mood ya Suarez
Kadri muda unavyozidi kwenda bila team inayotegemewa kushinda kufunga goli lolote, ndivyo jinsi ambavyo presha huongezeka kwao, kuiruhusu team kubwa kutangulia kupata goal ni kuruhusu wacheze kwa utulivu zaidi kisakolojia.Australia wqlikuja kuzuia magoli au kufuzu
Mi nawaambia ulozi upo mpk mabara ya watu weupe pia... π π πWhere is Messi??
Tangu Jana nilisema VVD anaenda kujenga ukuta na kutuchapia wale wakurukaruka USAKila timu upo mxieeew