Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

..😂😂😂..hawa kina Messi tuende nao kule robo fainali tuendeleze spana mwanzo mwisho... Au sio?
Carleen
Robo fainali ya mchongo 🤣
Wakienda itakuwa Kwa bahati mbaya tu.
Hawadeserve,,,
Kwanza yanapita Chocho halafu eti wanaota ubingwa!
 
Ukiachana na Messi ambaye tunamjua ni one among the best player ever akiwa na kina Cristiano Ronaldo wana Argentina [emoji1033] wenzangu mimi binafsi kama ningeambiwa nimpe tuzo best player katika World Cup hii toka Argentina [emoji1033] ningempa RODRI DE PAUL huyu mtu ni nyok**** kwanza hachoki pili anajituma tatu ana akili HE IS THE BEST PLAYER kwa season hii
 
Messi anaonekana bado hajafika miaka 30 .hiki ki jamaa ni hatar sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…