joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Okay.Kuwa vizuri ni kabla ya Mtoano, inapofika mtoano nakuambia historia na ukubwa wa timu zina nafasi yake
Subiri uone
Spain ya kawaida sana kombe hili la WC nimewatizama na Japan,Germany.Ila hao Morocco mpira wanaumwaga wa kutosha na wanakupiga.
What is this?Aaahh kumbe ni kwa ajili ya mjomba messi
Basi sawa wapigwe tuu
BrasilBrazil au France ndo Bingwa.
Duu Spain hii brother........ hata kama mahaba yako yamezidi.Mkuu acha kuchekesha watu
Spain ameonyesha kuwa anaweza kushinda mechi yeyote ile karejee mechi ya ujerumani