Ridomil gold
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 2,790
- 2,232
Kwanza tu huyu Ref ni mkali sana kwa back sideKwann refa hajaenda kuangalia[emoji849]
Nadhani hujui sheria zote za mpira. Pale mpira umemgusa kwanza mguu ndio ukagusa mkono. Ungeenda kwenye mkono direct ingekuwa tutaKwa hiyo hii VAR haipo kwa ajili ya waafrika sio.
Sio umezoea Uwongo wa Wabongo 223,Sema commentators wa 222 hawanogi
Mod uandike kwa lugha sahihi.Nakielewa vyedi, mtu akiqoute comment mojawapo, automatic hizo zilizobakia zitajifuta
Kuna wakati hata huelewi var inasimamia nini.
Si usingizi. Ni pressure ya kupanda. Ushajua hapa mmeyakanyaga.Usingizi unaninyemelea
Wa kwetu hawaDaaaah tumewakosa hawa England