Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #1,861
Khamsa inawahusu hawaSaka. Anawapatia watanashati goal la 4.
Kwani mkuu huoni kinachoendelea uwanjaniHizi kauli huwa zinawapa hasira mafundi wa mpira
Bora mkoloni akae kimya
Mi nilitaka game iishe kama Simba na RuvuWamepata goli bhana😂😂