Ari anayotakiwa kuwa nayo kocha wa timu

Ari anayotakiwa kuwa nayo kocha wa timu

Kichankuli

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2008
Posts
887
Reaction score
190
Wana JF hebu someni nukuu ya sehemu ya ari ya Kocha wa Timu ya Taifa ya Ivory Coast;

Alisema,"Tumefikia katika hoteli ya Kilimanjaro Kempinski na tunahisi tumeishafika juu ya mlima Kilimanjaro, tukirudi na kombe tutapanda nalo katika mlima huu mrefu barani Afrika na lazima nirudi na kombe kwa sababu Rais Laurent Gbagbo wa Ivory Coast amenitaka nirudi na kombe"


Maximo hana ari ya aina hii, sasa sijui JK huwa hampi majukumu kama alivyofanya Gbagbo!
 
Back
Top Bottom