Ariana Grande: GOD is a woman, Huyu muimbaji anajua anachokisema?

jf user

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2018
Posts
777
Reaction score
623
Nimesikiliza nyimbo nyingi sana kwa kweli japokua muziki umejaa vichaa mimi sijawahi kuona mwanamziki wa muziki wowote ule anamtukana MUNGU waziwazi hata kimya kimya mimi sijui.
Ni jambo gumu sana maishani mwangu tofauti na member hapa jukwaani wanaokiri hamna MUNGU na wengine hawana Imani yani wapo wapo tuu sijawhi ona mtu anamtukana MUNGU.

Msanii maarufu wa Marekani Ariana Grand na wimbo wake GOD is a woman ulinishtua sana na kubaki na maswali na majuto mengi moyoni japokua sijausikiliza pengine alikua hamanishi MUNGU naombeni mnisaidie hapa haya yawezekana ni makosa yangu ya kutafsiri vibaya.




 
Weee ni mnafiki sana,sasa hujausikiliza umeandika yoooote hayo je ukiusikiliza si utaandika kitabu wewe!.
Nakushauri usikilize kwa ndio uje uandike kitu kinachoeleweka. Pia sikiliza na wimbo wa Shaggy unaitwa Strength of a women nao maudhui yake ni hayo hayo kuwa Mungu ni mwanamke
 
Mungu anaemuabudu yeye
 
mtoa mada acha mawenge, we kama unaamini mungu ni mwanaume bc me naamini mungu ni mwanamke.
kuna ule wimbo wa shaggy watu wanaupinga sana eti kisa kasema mungu ni mwanamke lkn ukisoma lyrics na ukijua dhamira ya nyimbo huwezi base kwenye mistari ya kusema mungu ni mwanamke.
mtoa mada umepotea.
 
Tatizo ujui ukweli but in real sense wasanii wote ma super star Hollywood Ni majanga matupu pamoj ana walowezi wao wote.
 
Tatizo naliona kwenye akili yako wala sio kwa huyo dada!

Tafuta hospital ya wagonjwa wa akili hapo karibu yako uende uwaone wanasaikolojia watakusaidia
 
Hujasikiliza freemason ya rick ross na Jay z, shaggy strength of a woman, on to the next one jay z, Party rock anthem lmafao etc.
Hujausikiliza lakini umekushtua na ukabaki na maswali na majuto mengi moyoni halafu labda umeutafsiri vibaya!.
kiswahili kinatanuka kwelikweli!..
 
Shaggy anakwambia I wonder if God is a woman.... Akili za mbuzi kuuelewa huu mstari kazi ipo
 
Jina la wimbo tuu mkuu ni hatari.
 
Wa Shaggy ondoa hakumaanisha hivyo.
 
Mleta uzi una laana kuu walahi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…