Ariel glaser alieanzisha vita vya maambukizo ya virusi vya ukimwi kwa mtoto

Ariel glaser alieanzisha vita vya maambukizo ya virusi vya ukimwi kwa mtoto

Haika

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2008
Posts
2,347
Reaction score
562
Ariel Glaser passed away 22 years ago 12 Aug, at the age of 7 years old.
Ariel, Binti wa Elizabeth Glaser alizaliwa na virusi vya Ukimwi kipindi ambacho madawa yaliokuwapo yalikuwa kwa ajili ya watu wazima tu!!
Mama yake alipoona hivyo alianzisha vita iliompeleka hadi ikulu na kuanzishwa tafiti za madawa ya watoto na ya kuzuia maambukizi ya mama kwa mtoto wakati wa ujauzito na kujifungua.
Matokeo ya vita yao ni kuwa wamama wengi wenye VVU wanapata fursa ya kupata watoto bila ya woga wa kuwaambukiza!!

Ni upendo wa pekee kwa mtoto kutoka kwa mama.
 
Back
Top Bottom