BUMIJA JF-Expert Member Joined Oct 19, 2011 Posts 5,950 Reaction score 11,295 Mar 29, 2014 #1 Hayawi hayawi jana jioni mgodi ulicheua na wengine waliokota dhahabu na wengine mawe ya kujengea,wengine walijeruhiwa na mlipuko,ndio maisha ya kusoma.Sap ni siri ya mtu ila kwa ujumla mambo ndo hayo.
Hayawi hayawi jana jioni mgodi ulicheua na wengine waliokota dhahabu na wengine mawe ya kujengea,wengine walijeruhiwa na mlipuko,ndio maisha ya kusoma.Sap ni siri ya mtu ila kwa ujumla mambo ndo hayo.
M majitta one JF-Expert Member Joined Mar 23, 2014 Posts 204 Reaction score 14 Mar 29, 2014 #2 weka picha.
BUMIJA JF-Expert Member Joined Oct 19, 2011 Posts 5,950 Reaction score 11,295 Mar 29, 2014 Thread starter #3 Picha ya nini