Katika ukurasa wake wa ig, chawa mwandamizi na mpambe Aristote aliomba msaada Huku akiwa kafungwa pingu. Alisema anaomba msaada wa polisiTanzania kabla hajauwawa na watu waliomkamata... Je amepatwa na nini??
Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app