Aristote kafungwa pingu

ngaiwoye

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2014
Posts
2,150
Reaction score
3,225
Katika ukurasa wake wa ig, chawa mwandamizi na mpambe Aristote aliomba msaada Huku akiwa kafungwa pingu. Alisema anaomba msaada wa polisiTanzania kabla hajauwawa na watu waliomkamata... Je amepatwa na nini??

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
 
Ukute hajalipa zile pesa alizokopa kwa nchedangee, mbna mabwakuuu.

Au kiki tyuuh, maana huyu shost kwa heka heka ajamboo
Shost tena! Kwani analiwa kota....πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Ukute hajalipa zile pesa alizokopa kwa nchedangee, mbna mabwakuuu.

Au kiki tyuuh, maana huyu shost kwa heka heka ajamboo
Alikopa kumbee, mkopo ni kesi ya madai... Ukute nae pia alikopeshwa kama msaini mbona mabwakuuu[emoji2957][emoji2957]

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…