Arlen Specter: from the Republican to the Democratic Party

Icadon

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2007
Posts
3,581
Reaction score
193
Haya ngoma inogile, Pennsylvania Sen. Arlen Specter will switch from The Republican to the Democratic Party.

NN what is your input on this switch?
 
Haya ngoma inogile, Pennsylvania Sen. Arlen Specter will switch from The Republican to the Democratic Party.

NN what is your input on this switch?

Good riddance! He knew he was going to struggle in the GOP primary anyways so he decided to switch now rather than suffer the embarrassment of losing in the primary.

And he has never been a solid conservative to begin with. So let him go. Next can be McCain and his daughter Megan....we don't want people of their ilk in our camp.
 
Akina Dick Cheney walie tu. At 29% who wouldn't run from a sinking ship?
 

hahah babu umenichekesha sana hapo, hili meli ya GOP naona lishaanza kujaza mimaji kila mtu anatafuta pa kutokea.
 
hahah babu umenichekesha sana hapo, hili meli ya GOP naona lishaanza kujaza mimaji kila mtu anatafuta pa kutokea.

Endeleeni kujidanganya tu.....

Na huyo Olympia Snow sijui anasubiri nini....wachukeni wote....
 
Endeleeni kujidanganya tu.....

Na huyo Olympia Snow sijui anasubiri nini....wachukeni wote....

Huko GOP kuna kazi tena si ndogo.

 
Haya ngoma inogile, Pennsylvania Sen. Arlen Specter will switch from The Republican to the Democratic Party.

NN what is your input on this switch?

Yule comedian wa MN akipitishwa basi DEMS watafikisha ile magic # ya 60
 
Yule comedian wa MN akipitishwa basi DEMS watafikisha ile magic # ya 60

Maneno ndiyo yapo hapo,Tunasubiri tu Mahakama impe ushindi Al-Franken (Minnesota) ili Democratic wawe na Majority Filibuster....Maana huko senate margin itakuwa 60/40,Lakini pia haitokuwa nzuri sana kwa Obama,Maana hawa jamaa watalalamika kuwa wanaburuzwa!!!
 
.....lazima kuhakikisha hii Republican philosophy iliyojificha ndani ya racism,ant minority & ant labour inafutika maana imetesa mamilioni ya watu kwa miaka mingi sana!
 

Actually sasa hivi Democraps wana majority ya 61/39 na mmoja independent-Joe Lieberman...

Na huyo Franken wampe tu huo ushindi wa mezani....na mimi naona hii ni pouwa sana maana kwa sisi American politics junkies tunakumbuka vizuri sana mwaka '76-'80 pale Jimmy Carter alipokuwa na majority kama hii hii ya O'Bummer na wote tunajua bila ubishi kilichotokea kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka '80.

Na ukiangalia kwa undani zaidi utaona sasa Republicans watakuwa sio wa kubebeshwa lawama tena mambo yakienda mrama maana sasa Democraps wana uwingi wa kufanya watakacho na hawataweza kuwalaumu Republicans eti wanawakwamisha. I love it. I love it. I love it.
 

Mwawado hapo GOP wanastahili kabisa kuburuzwa maana wao kazi ya ni kuhakikisha wanamcriticise OB na serikali yake kila kukicha kwa maamuzi yake mbali mbali ili iwasaidie kuongeza viti kwenye congress na senate 2010. Waache waburuzwe tu maana hawana jipya.
 

Oooh really Bubu Ataka Kusema?!!? Kama vile Democraps kazi yao haikuwa kumkosoa Bush na serikali yake day in day out. Huyu O'Bummer wenu kila kukicha anamlaumu Bush..yaani yuko kwenye campaign mode 24/7. Damn I hate the liberals with their hypocrisy and double standards. I hate them
 

Lakini nadhani Democratic wakipata viti 60 kwenye senate, itakuwa ni wakati mzuri wa Pres. Obama kutekeleza ahadi au ndoto yake ya kuondoa Red and Blue kwa maana ya kuwaleta waamerika wote pamoja. Ukiangalia historia ya Obama katika nafasi mbalimbali alizopitia hasa kuanzia pale Occidental na hadi sasa, amekuwa somehow consistency na style yake ya uongozi. He always tries to bring minority close bila ya kujali wako wapi.
Nafikiri ni wakati muhimu sana kwake kuweza kuchanga karata za kisiasa vizuri sana. Ninadhani hata GOP wenyewe wanashukuru hali hii inatokea while Obama is president lakini ingekuwa ni kiongozi mwingine kungeweza kuwa na possibility ya abuse of that privilege.
 

Kichaka is the worst president ever. He lied in order to invade Iraq. He squandered budget surplus of billions dollars and left budget deficit of $1.4 Trillion. He destroyed US' reputation all over the World. Alistahili kabisa kuzodolewa naona ana sifa kama rafiki yake Kikwete ambaye naye uongozi umemshinda kabisa pamoja na ahadi chungu nzima. Kwa maoni yangu sidhani kama atatokea tena Rais ambaye atakuwa na rekodi mbaya US kama Kichaka.Hakuwahi kufanikiwa katika lolote katika maisha yake alipewa timu ya baseball ikamshinda, akapewa biashara ya mafuta na akaiba uchaguzi 2000 na 2004 na kuiacha Marekani hoi bin taabani.
 
Kwa maoni yangu sidhani kama atatokea tena Rais ambaye atakuwa na rekodi mbaya US kama Kichaka..

Kwa taarifa yako hiyo rekodi inashikiliwa na Jimmy Carter!! Ndio maana alishindwa na Ronald Reagan kwa kishindo!! Get your history straight.

Hakuwahi kufanikiwa katika lolote katika maisha yake alipewa timu ya baseball ikamshinda, akapewa biashara ya mafuta na akaiba uchaguzi 2000 na 2004 na kuiacha Marekani hoi bin taabani.

Uko hapa safe na tokea 2001 na Marekani haijaguswa na magaidi. Oh wait a minute....only kwa ma-liberals kama wewe hayo siyo mafanikio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…