Afadhali Mungu amenusuru likafungwasabaya angekuwa kesi yake haijaisha, angepata dhamana na ingesikilizwa akiwa nje kuanzia November 2021.
but, mawakili wengi hawajastuka hili kwasababu hawafuatilii mapya ya sheria, ukiona wamejua hili, armed robbers wengi watapata dhamana na lazima waingie mtaani kutafuta pesa za sikukuuu, lazima pachafuke mtaani.Afadhali Mungu amenusuru likafungwa
kesi hiyo niliyoweka hapo ya Court of Appeal ilielekeza kwamba kama sheria itakuwa haijabadilishwa, kuanzia NOvember mwaka huu unyang'anyi wa kutumia silaha utakuwa na dhamana. hivyo kama mahakimu hawawaambii washitakiwa kuwa sasa wana dhamana, watakuwa wanakiuka wajibu wao tu. na kesi ikienda mara ya kwanza wanatakiwa kupewa dhamana kuanzia mwezi huu.Aisee!. Omba isikutokee.
Yaani mtu aliyekushikisha bunduki kutaka kukutoa roho, akachukua hela zako za biashara then kesho na keshokutwa umkute mtaani, nakuapia nitakupiga bastola ya kichwa...
Mahakama pamoja na wanasheria wameona mtuhumiwa wa unyang'anyi wa kutumia silaha akinyimwa dhamana ni kitu kibaya, ananyimwa haki yake ya msingi ya kuwa huru na kutowekwa kizuizini, wakaamua hivyo. lakini majaji walioamua hivyo wana ulinzi wa polisi majumbani kwao, but wanasheria waliohamasisha hawana ulinzi. na ninaamni hawajawahi kuingiliwa majumbani kwao na majambazi. wanayasikia tu.Sometimes kufuata Sheria hakutatupeleka popote, au Sasa ndio kila mtu atataka kuwa na silaha kujilinda