Mbona mimi ni HGL +SUA au kwa mtazamo wako unadhani waliopo sua ni waliosoma nini?au ukisikia kilimo ni unajua kilimoooooooooo TU
Na wewe ulipotea kweli!!hukuombaga maushauri nn??:bange:
haya wewe uliopo kwenye njia sahihi nipe hayo maushauri
Ngojea,kuna jamaa anaitwa Mwana Mtoka Pabaya aje kukushauri.....:bange:
kumbe hata wewe mwenyewe kushauri hauwezi i gues that time ningekuomba ushauri ningejutia saaaaaaaana unlike the way im regretting ryt now
Hahahaaaa...karibu sana JF bana...huku ni stress free zone,usitoke mapovu bana,I was just joking,mzima lakini Heaven on earth???
gerlad hando jana ijumaa saa 3 asubuhi nilimuona anatangaza kipindi cha TMAA star tv