Arnold Schwarzenegger $200M Reasons To Stay Married To Maria

Wakuu onyesheni upendo japo kwa ku-like, hii post ipo hapa kwa zaidi ya wiki mbili na ni zero comment, sio mpango huo.
 
USA siku hizi talaka sio habari kabisa, kama njugu tu....watoto wadogo ndio wanaathirika
 
Huyo COMMANDO alitembea na housegirl akanogewa na kumzalisha kabisa ndo wife akaMIND...........aise hii kitu hii........
 
Umeshapona baada ya kutahiriwa?
hahahahaaa!! mkuu mbona unamchokoza kijana wetu? .. utamsikia, ni yule yule Gogle niliyetahiriwa muda si mrefu..!!
Wakuu onyesheni upendo japo kwa ku-like, hii post ipo hapa kwa zaidi ya wiki mbili na ni zero comment, sio mpango huo.

like yako sijui iko wapi? au unatumia PHILLIPS mkonga?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…