Arnold Schwarzenegger atengana na mkewe wa miaka 25

EMT

Platinum Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
14,477
Reaction score
15,325
aaaaaaah,ameshindwa kumudu mahitaji ya binti mbichiiiii?ndo mana tunashauriwa tusioe wanawake tuliowazidi saaana umri,ameshtuka anachakachuliwa na kina chris brown, neyo n.k.
 
Duh!! Inaonesha ndoa iliisha siku nyingi walikua tu wanasubiri jamaa amalizi muda wake... Haya tunasubiri kusikia mwanamama kavuna kiasi gani.... Na hio picha hapo juu i hope si ya karibuni na Arnold kachukua a hasty decision .. mbona ka vile he is still longing for the wife....
 
aaaaaaah,ameshindwa kumudu mahitaji ya binti mbichiiiii?ndo mana tunashauriwa tusioe wanawake tuliowazidi saaana umri,ameshtuka anachakachuliwa na kina chris brown, neyo n.k.

Mke wake mbona mkubwa tuu. Miaka 55
 
Hapo ndiyo nashindwa kuelewa ndoa maana inakuwaje watu wanaishi miaka 20+ halafu wanakuja kuachana?
 
Hio statement yao imenishangaza kama sio kunifurahisha wametangaza wameachana halafu still wanasema they are working on the future of their relationship, najiuliza sasa which relationship?? au relationship ya wao na watoto wao
 
Hapo ndiyo nashindwa kuelewa ndoa maana inakuwaje watu wanaishi miaka 20+ halafu wanakuja kuachana?

Hata sijui lipi lililowashinda kuvumiliana uzeeni ikiwa ujanani waliweza kuvumiliana,
hakika binadamu hatueleweki.......
Leo mnaelewana/kusikilizana vzr, lakin kesho hata usuluhishi haM utamki kuuelewa....

KWANGU MIMI NI BORA KUACHANA UJANANI, LAKINI
SIPENDI WALA SITAKI KUACHANA UZEENI, NAOMBA USIKU NA MCHANA BORA NISIPENDWE UJANANI LAKINI NIKAPENDWA UZEENI....BORA STRESS ZA UJANANI KULIKO STRESS ZA UZEENI.
 
nnunu naona ni kutokana na ukweli kua ulimwengu wetu na wao ni tofauti kabisa... Katika jamii yetu tunaona wame zeeka sasa nini tena wanataka na kwa nini wasivumiliane. Na hali wao wanaona kama hawapendani, life is too short, bora kuachia ngazi na afurahie maisha yake kwa kujirusha na kufanya lolote atakalo... Katika jamii yetu haina logic. Serkali ya mtaa wataingilia, watoto watasimama kidete, wanandugu hawatawaelewa, kanisa litawatishia kwa kuwa ban na marafiki watawawekea vikao weee mpaka mtaingia line msiachane.... Which is good by the way.
 
Hio statement yao imenishangaza kama sio kunifurahisha wametangaza wameachana halafu still wanasema they are working on the future of their relationship, najiuliza sasa which relationship?? au relationship ya wao na watoto wao

Kuwa mvumilivu.. Baada ya mwaka kama si miezi utasikia kapata kimada ukiangalia utakuta ni the ex wife....
 
Hii thread imeingiaje kwenye ukumbi huu?

Ulitaka iwekwe kwenye celebrate forum or international forum? Nilifikiria vile, but nikaiweka hapa b'se hivi karibu tumekuwa tukijadili mambo haya kiaina. Then, a vivid example came out itself. Mods wanaweza kuhamisha kama sio mahali pale.
 
kabisa kabisa mie nikifikisha 40+ habanduki mtu tena...
 
kabisa kabisa mie nikifikisha 40+ habanduki mtu tena...

Naona majileta taratibu.
 
Kuwa mvumilivu.. Baada ya mwaka kama si miezi utasikia kapata kimada ukiangalia utakuta ni the ex wife....
Ni kweli Asha juzi nilikuwa nasoma jamaa fulani LA wame-unite tena na kufunga ndoa wakiwa na miaka 75 mwingine ana 80 baada ya kuwa wameachana miaka sijui kumi iliyopita sounds absurd to me
 
Wikipedia nao mambo ni fasta fasta. Wanasema: On May 9, 2011, Schwarzenegger and Shriver announced their separation after 25 years of marriage, with Shriver moving out of the couple's Brentwood.
 
kabisa kabisa mie nikifikisha 40+ habanduki mtu tena...

kwa sababu gani asa...si hakutaki goma limeisha utamu anakupiga chini we unang'ang'ana tu why?? yaani mi uning'ang'ania ndo utashangaaa ntakuwa kutwa nabandua mahouse girl mapka mwenyewe unaondoka kurudi kwenu vikindu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…