Arnold Schwarzenegger atengana na mkewe wa miaka 25

kwa sababu gani asa...si hakutaki goma limeisha utamu anakupiga chini we unang'ang'ana tu why?? yaani mi uning'ang'ania ndo utashangaaa ntakuwa kutwa nabandua mahouse girl mapka mwenyewe unaondoka kurudi kwenu vikindu
Wacha upuuzi huo, neno linaumba kitu lazima ukue , umeelewa???????
 
Ni kweli Asha juzi nilikuwa nasoma jamaa fulani LA wame-unite tena na kufunga ndoa wakiwa na miaka 75 mwingine ana 80 baada ya kuwa wameachana miaka sijui kumi iliyopita sounds absurd to me

Itakua hivyo hivyo... Just wait and see...
 
Wikipedia nao mambo ni fasta fasta. Wanasema: On May 9, 2011, Schwarzenegger and Shriver announced their separation after 25 years of marriage, with Shriver moving out of the couple's Brentwood.

EMT hawa watu hawana lingine zaidi ya kufuatilia hizi issue... Naona wanapenda waruhusiwe hata kutangaza live kua sasa star fulani sasa anaingia msalani.... Ukiwa star huko upumuhi...
 
Reactions: EMT
aaaaaaah,ameshindwa kumudu mahitaji ya binti mbichiiiii?ndo mana tunashauriwa tusioe wanawake tuliowazidi saaana umri,ameshtuka anachakachuliwa na kina chris brown, neyo n.k.
mnh we nawe puumba hebu toa upupu wako hapa huyo ndo mwanamke mbichi huyo vp bw mdogo unaona kinyume au?
 
kwa sababu gani asa...si hakutaki goma limeisha utamu anakupiga chini we unang'ang'ana tu why?? yaani mi uning'ang'ania ndo utashangaaa ntakuwa kutwa nabandua mahouse girl mapka mwenyewe unaondoka kurudi kwenu vikindu

hapo ndio nitaweza kuwa na maamuzi mbadala, kwangu hakuna h/g.
 

Nimeipenda hii.
 

Mnunu,hapo kwenye red umenikuna ni hatari! Ahsante kwa fikra iliyojaa hekima za Mfalme Suleiman.
 

Kwa maamuzi hayo basi Wacha uendelee kuwa tofauti.

HIVI UNANIACHA UZEENI ILI?,
UKINIACHA UJANANI NTAUMIA LAKIN SITAUMIA SANA KSB
NTAKUWA NA MATUMAINI YA KUPATA WA KUMPENDA NA KUNIPENDA TENA,
HIVI UKINIACHA UZEENI NTAANZWAJE KUTONGOZWA?,
NTAMWITIKIAJE/NTAMJIBUJE MTONGOZWAJI?,
NA USO WANGU NTAUWEKAJE VILE??,,
Eeh MUNGU niepushe na STRESS ZA UZEENI.

NILIPATA BAHATI YA KUSHUHUDIA MAPENZI YA UZEENI YA BABU NA BIBI YANGU,
YALIKUWA MAZURI KUPITA KIASI ,NIKAYAFANANISHA NA MAPENZI YA MTOTO KWA MAMA NA BABA YAKE (LAKIN KWA WALE TU WENYE KUJUA NA KUTAMBUA UZAZI NA ULEZI KWA MTOTO WAO). IKAFIKA MAHALI NIKAWAULIZA HIVI BABU NA BIBI MLISHAWAHI KUGOMBANA KWELI??, MBONA MNAPENDANA,MNASIKILIZANA,MNAHESHIMIANA,MNAFARIJIANA,MNATAZAMANA KWA UPENDO MKUBWA SANA. WAKANIJIBU KUWA ENZI ZA UJANA WAO WALIWAHI KUGOMBANA NA KUTOELEWANA SANA TENA MARA NYINGI LAKIN WAKAFIKA MAHALI WAKASEMA SASA BASI TUMESHAKUWA WAZEE WACHA TUFURAHIE UZEE WETU HATA TUKIFA TUFE HUKU TUKITABASABU, NA KWELI WOTE WALIKUFA KAMA WALIVYOTAKA TENA KWA KUPISHANA SIKU CHACHE SANA. KUANZIA HAPO MIMI NAYAPENDA SANA SANA SANA MAPENZI YA UZEENI MWANGU KULIKO YA UJANA WANGU, NAPENDA UZEENI MWANGU NIWE NA MAPENZI KAMA YA MTOTO NA WAZAZI WAKE,NIKIJISIKIA KULIA NIBEMBELEZWE,NIKISHINDWA KUNYANYUKA NINYANYULIWE NA MPENZI WANGU MIE.......lol,
 


100% Right..... :ranger:
 
Hio statement yao imenishangaza kama sio kunifurahisha wametangaza wameachana halafu still wanasema they are working on the future of their relationship, najiuliza sasa which relationship?? au relationship ya wao na watoto wao

Kuna tofauti kati ya divorce na separation. Nadhani wana matumaini ya ku work out their differences. Wametengana tu wanaweza kuachana kabisa au wakarudiana.
 
Mke wake mbona mkubwa tuu. Miaka 55

Naona Lugha ya kigeni ilimtatiza kuelewa
Iliposemwa " . . . . his wife of 25 years . . . ." akadhani mke ndo ana miaka 25.
 
Nimepata kushuhudia babu mmoja wa miaka 90 akifunga ndoa na mkewe wa siku nyingi of whom alikua above 80...waliishi pamoja,wakazaa watoto,wakapata wajukuu,na vitukuu lakini mtu mzima alikua hajaadecide km ni mke wa kufaa kufunga ndoa till alipotimu 90+...ndoa kitu kingine bandugu!... isikie kwa mwenzio tu!
 
Kuna tofauti kati ya divorce na separation. Nadhani wana matumaini ya ku work out their differences. Wametengana tu wanaweza kuachana kabisa au wakarudiana.
Ila to me this is really absurd sijui lakini
 
Ila to me this is really absurd sijui lakini

Separation inasaidia. Ukiwa mbali na mtu ndio unajua umuhimu wake. I am from a broken home. Mpaka leo baba anataka mama arudi home, and it is more than 20 years, mama hataki kwa sababu tu ya mambo ya HIV maana mdingi utulivu zero. Kwa hiyo mimi nina imani watu mkikaa pamoja for so many years alafu mkaseparate; there is a big chance of missing one another. Kuna ka dependence fulani kanajengeka kwa nyie kukaa pamoja! Hata baba (maana ni bonge la muongeaji) kila mara anatupa story za love life yao.
 
Kwa hawa tunaowaita celebrities it has been happening rarely hadi nimeanza kuona ni kitu cha kawaida sana, nafikiri FAME and MONEY navyo vinachangia.
 
Mke wake mbona mkubwa tuu. Miaka 55
Wenzetu kule wanatunza miili yao sana mdada anaonekana kama 30 hv! na wenzetu miaka hiyo ndio kwanza wanaanza maisha kila la heri ili mradi kila mtu anatafuta furaha yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…