Arrest Shock

Arrest Shock

kiben10

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2018
Posts
613
Reaction score
791
```Kumekuwepo na tatizo la vifo vya ghafla sana tena kwa watu ambao wana afya njema na hii inatokana na kuamka ghafla usiku ambapo ubongo hukosa damu ya kutosha.```

_Unapoamka katikati ya usiku kwenda kujisaidia haja ndogo mfumo wa damu unakuwa umebadilika kwa sababu kuamka ghafla kuna kuwa hakuna mzunguko wa kutosha wa damu kwenye ubongo unaosababisha moyo kushindwa kufanya kazi kutokana na ukosefu wa damu._

*USHAURI:*
*Tumia dakika 3 na nusu kufanya yafuatayo:-*

*1. Unapoamka usingizini lala kitandani kwa nusu dakika.*

*2. Kaa kitandani kwa takribani nusu dakika.*

*3. Shusha miguu, kaa pembeni ya kitanda takribani nusu dakika.*

Baada ya dakika 3 na nusu hutakuwa na tatizo la ukosefu wa damu kwenye ubongo na moyo kushindwa kufanya kazi, hivyo inapunguza uwezekano wa vifo vya ghafla na kuanguka ghafla.

```Shirikisha marafiki na jamaa.```

*```Hii inatokea bila kujali umri.```*

Pata Ushauri huu kwa Instagram

@dr.mpoto_jr
 
Upo sahihi kabisa, kuna wakata unaweza kuamka ukasikia kizungu zungu unataka kuanguka ....huwa ninarudi kitandani na kuanza kuchezesha viungo kwanza mpaka mzunguko wa damu ukolee
 
Sambamba na wakati wa kuoga, usijifanye bigwa wa maji baridi kuushtukiza mwili, utajishtukia upo mbele ya israel halafu waliobaki wasingizie ohhh!!! mara bafuni kuna mjini!!!! ooh!!! kuna dua ya bafuni hakuisoma!!!!ohh!!mara ameingia bafubi bila kutanguliza mguu fulani!!!! rongo tupu
 
Sambamba na wakati wa kuoga ...usijifanye bigwa wa maji baridi kuushtukiza mwili....utajishtukia upo mbele ya israel halafu waliobaki wasingizie ohhh!!! mara bafuni kuna mjini!!!! ooh!!! kuna dua ya bafuni hakuisoma!!!!ohh!!mara ameingia bafubi bila kutanguliza mguu fulani!!!! rongo tupu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] aisee yaani najikuta bora pesa ya unga ninunua Bundle kuliko kuacha kufatilia social media aisee wallah huku kunaondoa stress na unaweza hata ukawa unapiga Nyeto kwa maneno ya mahaba hapa JF
 
Back
Top Bottom