Tunaongelea Africa, tutataka kusovu matatizo yetusisi waafrica katika bara letu la africa. kama wewe ni mmarekani au mwarabu, ndo uanze kudiscuss hayo. bashir amewa finance majanjaweek yaani wale wanamgambo wa kiarabu kuwaua waarfika. hii ilikuwa ni jambo la ki ethnic,religious na mafuta kusini mwa sudan. waarabu wanataka ku wipe off wabantu kusini, kuwipe off wakristo kusini,na kumiliki mafuta kusini ambako ndo yapo. kufanya hivi, ametoa pesa nyingi kuwa finance majanja weed, ndo maana alikuwa anaogopa kuwapokea wanajeshi wa umoja wa mataifa, alikuwa anaogopa kwasababu anajua alichokifanya. anatakiwa atengwe, na kuna siku atakamatika tu. ila viongozi wa tz waache unafiki.
viongozi wa tz wanafiki sana, unakumbuka juzi tu hapa JK alisema kuwa atakuwa tayari kupeleka wanajeshi zimbambwe kama ni muhimu?, majeshi ya nini kule?, pia alitoa kauli moja hivi ya kusapoti nyuklia ya iran, kwa maslai ya nani? na mitazamo mingi sana ipo hapa, viongozi wetu hawana akili kwakweli na wanaongea tu alimradi wapate misifa.