Profesa ntare nkobe
JF-Expert Member
- Feb 5, 2018
- 6,955
- 8,120
Kashashinda kumi na ngapi mpaka sasa?Arsenal asipo shinda zidi ya Chelsea mnipige kidogo kidogo mpaka nife..
Aisee tuko wengi... yaani nimeotafuta channel zote siioni... wanazingua sanaIna maana DStv hawaoneshi game?
Nakusubiri dar es salaamArsenal akishinda kesho najisaidia mafungu mafungu, kutoka moshi hadi Dar es salaam,
Aksante.
Sawa mkuuArsenal asipo shinda zidi ya Chelsea mnipige kidogo kidogo mpaka nife..
Bring back WengerArsenal asipo shinda zidi ya Chelsea mnipige kidogo kidogo mpaka nife..
mpka sasa umeshafika wapi kwa kujisaidia hyo mafungu😂😂😂😂Arsenal akishinda kesho najisaidia mafungu mafungu, kutoka moshi hadi Dar es salaam,
Aksante.
awana legal japo ch730 walionesha
Aisee tuko wengi... Usikarr supersport siku ingine yaani nimeotafuta channel zote siioni... wanazingua sana
Kajifunze kuandika kwanza ndio uje tukupige.Arsenal asipo shinda zidi ya Chelsea mnipige kidogo kidogo mpaka nife..
Arsenal asipo shinda zidi ya Chelsea mnipige kidogo kidogo mpaka nife..