johnsonmgaya
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 2,818
- 3,730
Naona umejitahid kutoa kasoro lakin ukweli ni kwamba hapo hakuna mwanamke..Naona kwa wenzetu kuna ma gay wa kike pia ehhhh
Hata kwenye familia zetuTimu zote zimejaaa mashoga ulaya
Nitoe kasoro yanini mkuu, ila me nimeona wanawake hapo kwenye hiyo picha, km issue ni ushoga me hayanihusu ila km ni kuona wanawake basi angalia vizuri nawewe utawaonaNaona umejitahid kutoa kasoro lakin ukweli ni kwamba hapo hakuna mwanamke..
Hata hvo shoga ukimchek anatofautiana na demu wako?
Wazungu ni wehu, kuna mashoga wana wake huku wameolewa au kushiriki ushoga pia na mademu wanachukuana piaNitoe kasoro yanini mkuu, ila me nimeona wanawake hapo kwenye hiyo picha, km issue ni ushoga me hayanihusu ila km ni kuona wanawake basi angalia vizuri nawewe utawaona
Ss hao mkuu wanakuwa sio mashoga bali ni Lesbian, jina shoga linatumika kwa wanaume tu nazaniWazungu ni wehu, kuna mashoga wana wake huku wameolewa au kushiriki ushoga pia na mademu wanachukuana pia
Hata mimi SIAMI TIMUSiami timu
duuuh....poleUjinga kuhama timu kwa sababu za kijinga kama hizi.