Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Kwenye ligi Arsenal kashaachwa alama 15 na vinara Liverpool.
Kwenye Uefa wapo hatua ya 16 bora huku wakiwa na uongozi wa magoli 7 katika mchezo wa kwanza.
Naambiwa akivuka hapo atakutana na mshindi wa Real Madrid Vs Atletico Madrid.
Kwa tafsiri ndogo, Arsenal hatoboi hapo robo fainali. Ndio itakuwa mwisho wa safari yake.
Carabao na FA Cup walishatoka siku nyingi sana, hawa jamaa hawatobeba taji lolote. Sijui wanakwama wapi?