Yaani arsenal mentality Yao ndo inawaangusha, hawana personality yoyote ile. Ni kama vile hawana malengo kabisa. Timu kama Chelsea, United wakiwa na timu nzuri wanaweza kuwahi kuchukua makombe kuliko Arsenal ambaye amekuwa kama Mwana wa Israel alietanga jangwani karibu miaka arobaini.