Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
Kama hiyo kuwa na red ndo kilikuw kigezo cha kufungwaDuhhh...! Kwahiyo pamoja na kuwa na red ulitaka washinde?
Teh teh teh.......we upigane big game tena derby na mguu mmoja umekula Shaba afu ushinde hicho kichekeshoArsenal mara nyingi ikitanguliwa kufungwa hasa kwenye big games haiwezi kurudi mchezoni na mara nyingi hufungwa kama tulivyoshuhudia leo.
Narudia kusema tena, Arsenal hii haiwezi kubeba ubingwa, ni heri Leicester City wabebe ndoo coz wanaweza kupambna mpaka mwisho.
Arsenal walicheza pungufu.... ila uliona jinsi mpira ulivyopigwa....Kwa mpira upi wa Arsenal kuwa bingwa, labda ije kushiriki ligi yetu ndio itakuwa bingwa lakini si EPL.
Kwa mpira huu huu ulio tufanya tuwe nafasi ya juu kuliko Utd, Chelsea, Liverpool na City.Kwa mpira upi wa Arsenal kuwa bingwa, labda ije kushiriki ligi yetu ndio itakuwa bingwa lakini si EPL.
Thread yake ilitakiwa iandikwe SITAKI NA PIA NATAMANI ARSENAL WASIBEBE UBINGWAAJadilini timu zenu, timu yetu mtuachie sisi wenyewe! Mnawashwa na nini?? Ndoo tunabeba! Mtatafuta pa kutokea.
Ukiona watu hawalali, wako bize wanakujadili mpaka kufungua uzi spesho ujue wana hofu na wewe ila wanajificha ktk kivuli cha 'ARSENAL HII HAIWEZI CHUKUA UBINGWA'!
Ukiona wanakujadili ujue wamekukubali ila wanaogopa kusema.